Watu saba wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa katikia ajali iliyohusisha lori la mizigo aina ya Scania, Toyota Hiace ...
Mwigizaji wa Marekani Auli’i Cravalho, ambaye amejizolea umaarufu kupitia filamu ya ‘Moana 1 & 2’ amefunguka kuwa filamu hiyo imemfungulia maisha kwani imemwezesha kumnunulia mama yake nyumba ...
Jamii inakabiliwa na changamoto zinazohusu matukio ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji kama kubaka, kulawiti, kutupa watoto ...
Mabingwa watetezi wa Kombe la FA, Manchester United itakipiga na Arsenal baada ya vigogo hao wa Ligi Kuu England kupangwa ...
Mwanamuziki William Lyimo 'Billnass' ambaye anatamba na wimbo wa 'Magetoni' amesema ameamua kutoka kwenye Amapiano na kurudi ...
Kikosi cha Yanga kimeondoka leo Jumanne Desemba 3, 2024 kuelekea Algeria kwa ajili ya kuivaa MC Alger katika mchezo wa kundi ...
Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob maarufu Boni Yai amekwaa kisiki baada ya Mahakama Kuu ...
Shirika la Tanzania Health Promotion Support (THPS) limetoa huduma za upimaji wa Virusi vya Ukimwi (VVU) kwa watu 89,602 ...
Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha baada ya lori la mizigo aina ya Scania kugongana na Toyota Hiace inayofanya safari kati ya Kayanga wilayani Karagwe na Bukoba Mjini.
Mwanafunzi wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Kasota, Kata ya Bugulula Wilaya ya Geita (9) amejeruhiwa kwa kuchomwa ...
Imeelezwa kuwa, matukio ya utekaji au ukamataji usiofata sheria na taratibu za ukamataji yanayozidi kushamiri nchini ...
Katibu wa CCM Wilaya Chunga, Charles Jockel amesema amepokea taarifa za mauaji leo Jumanne asubuhi kutoka kwa uongozi wa ...