Hali ni mbaya pia kimataifa. Ripoti mpya inaonyesha kuwa zaidi ya wanawake 50,000 na wasichana waliuawa na wapenzi wao au wanafamilia mwaka 2023, ikiwa ni ongezeko kutoka kwa 48,800 waliouawa 2022.
Kadri zilivyo kuwa rahisi na nafuu, vifaa vya kupima msimbojeni kama vile Ancestry na 23&Me vimeleta umaarufu mkubwa kwa “utalii wa turathi,” ambao ni safari za kutafuta na kuunganishwa na ...
MNAMO Februari mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan, ametamka kuwa Sekta ya Viwanda, pia Utalii na Madini, zimevunja rekodi kuingiza mapato makubwa zaidi tangu Tanzania ipate uhuru. Pia, mwezi Agosti ...
Je wajua wanawake na wasichana 140 walifariki dunia kila siku duniani kote mwaka 2023 wakiwa mikononi mwa wapenzi wao au ndugu wa karibu, ikimaanisha kuwa mwanmake mmoja anauawa katika kila dakika 10.
Nchi tajiri zimekubali kuwekeza dola bilioin 300 kila mwaka katika kukabili na kuhimili madhara ya mabadiliko ya tabianchi, huku nchi maskini zikipitisha makubaliano hayo 'shingo upande' kwani ...
“Baada ya kuuchanganya, hakuna teknolojia inayoweza kuurudisha udongo ule,” anaongezea, katika hotuba ya Muungano, Aprili mwaka huu, akiusifu: “Ni ‘Muungano maalumu na wa kipekee’ katika misingi ya ...
Tumeangazia klabu ya Chaux Sport kutoka DRC kubanduliwa kwenye mechi za kufuzu Ligi ya Basketboli Afrika 2024, masaibu ya Yanga SC nchini Tanzania, uchaguzi wa FKF nchini Kenya, mashindano ya ...
Kibu ambaye alijiunga na Simba msimu wa 2021/22 akitokea Mbeya City, amecheza mwaka mzima bila kufunga bao katika Ligi Kuu Bara. Rekodi zinaonyesha mara ya mwisho alifunga Novemba 5, 2023 wakati Simba ...
News anchor Fridah Mwaka has stunned netizens after sharing reasons she cannot be in a romantic relationship with her co-host Lofty Matambo. Lofty Matambo was left in shock after Fridah Mwaka revealed ...
Takwimu za Hospitali ya Taifa Muhimbili zinaonyesha kati ya wagonjwa wa nje 24,014 walioonwa, wanaume walikuwa 15,205 ikilinganishwa na wanawake 8,809 kwa kipindi cha mwaka 2020/21. Mtaalamu wa afya ...
Necta imesema hayo wakati matukio ya watu kujihusisha na udanganyifu katika mitihani ya taifa yakiripotiwa kila mwaka. Januari 2024, Baraza hilo lilitangaza kufuta matokeo kwa wanafunzi 178 wa darasa ...