Hali ni mbaya pia kimataifa. Ripoti mpya inaonyesha kuwa zaidi ya wanawake 50,000 na wasichana waliuawa na wapenzi wao au wanafamilia mwaka 2023, ikiwa ni ongezeko kutoka kwa 48,800 waliouawa 2022.
Kadri zilivyo kuwa rahisi na nafuu, vifaa vya kupima msimbojeni kama vile Ancestry na 23&Me vimeleta umaarufu mkubwa kwa “utalii wa turathi,” ambao ni safari za kutafuta na kuunganishwa na ...
MNAMO Februari mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan, ametamka kuwa Sekta ya Viwanda, pia Utalii na Madini, zimevunja rekodi kuingiza mapato makubwa zaidi tangu Tanzania ipate uhuru. Pia, mwezi Agosti ...
“Baada ya kuuchanganya, hakuna teknolojia inayoweza kuurudisha udongo ule,” anaongezea, katika hotuba ya Muungano, Aprili mwaka huu, akiusifu: “Ni ‘Muungano maalumu na wa kipekee’ katika misingi ya ...